Natafuta mwanamke mwaminifu

Natafuta mwanamke mwaminifu

Poise unajua kupamba kwani wewe Mc au

Sent using Jamii Forums mobile app

Miye siyo MC , ila nimeoa kutoka Tanga , kwa hiyo naelewa binti / mke kutoka Tanga anajielewa sana kama Mwanaume naye akiwa ni mwanaume kweli (anayejielewa na anamheshimu na kumpenda mke wake maisha ni raha mstarehe).

Huwa napenda kuandika hivi,

Nashukuru sana, mkoa wa Tanga kuwa Tanzania.

Ni kwa sababu nimeoa mke kutoka Tanga na yupo very smart.
Nami, sitaki kuharibu nimejiweka vizuri kwa hiyo maisha yetu ni kama vile hatuko kwenye dunia hii ya taabu.
 
Kiukweli hongera Na hongera kwa mkeo Mungu amewakutanisha mliopendana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom