veronica.kyamba
Senior Member
- Sep 21, 2014
- 148
- 37
Hakuna ndoa ya namna hiyo Veronica.Kyamba9 We have good8yrs without Communication..Not even seeing each other in streets.. Hiyo Amani unataka niitafute na hewa/Jini au? Istoshe mwenye alisha jipambanua kuwa anaweza kuishi bila huwepo wangu..! Ahsante kwa comment anyway!!
kuna mambo huma aiseee! unaweza ukajipa misifa yooote kumbe hamna kitu! any way kila lakher mkuuuuuu
aaaaaaaaaaaaaaaaaah! Evelyn Salt.. Una mambo..! Sidhani...Maana huwa naota Ndoto "Nyevu" wanaitaga.. karibia mara mbili mpaka nne kwa wiki(Inategemea kama sijafanya mazoezi ndio huwa napataga hiyo hali..Na kujikuta Nafua mashuka mara kwa mara...lol!!
aaah!!!Madame B hiyo ndio itakuwa demand yangu ya mwanzo toka kwa atakayejitokeza(Maana mbali na kukaa mbali na zinaa kwa miaka8 nimekuwa na tabia ya kupima VVU kila baada ya miezi sita..Na hivi juzi tu ndio nimetoka kupima..( Haka ni katabia ambako nilikajenga tangu nikiwa na mahusiano..hivyo hujikuta naenda kupima hata kama huwa na 100% ya kuwa FIT
aaaaaaaaaaaaaaaaaah! Evelyn Salt.. Una mambo..! Sidhani...Maana huwa naota Ndoto "Nyevu" wanaitaga.. karibia mara mbili mpaka nne kwa wiki(Inategemea kama sijafanya mazoezi ndio huwa napataga hiyo hali..Na kujikuta Nafua mashuka mara kwa mara...lol!!
Duh! Miaka nane without kwichikwichi c mchezo!
mmmnnnhhhh.!?! Unanipa mashaka. Unaweza ukawa punga wewe.
Mbona nyie watoto waongo waongo sana? Hujatomba miaka 8 na unapima ngoma kila baada ya miezi sita! Hiyo ngoma unaipata kwenye menu?
Cc tumboo
Sabuni chapa mbuni..!
Wewe unafikiri kama mimi.Huyo ni mboga 7,amesema ni wa mlo mmoja makusudi ili ampate hasa mwanamke asiejali kipato chake.
Kwa dunia ya sasa sidhani kama kuna mwanamke yupo teyari kuolewa na mwanaume mwenye uwezo wa kula mlo mmoja tu kwa siku..nakushauri uendelee kuabstain tu mkuu..
Ujue watu wengi hawajui tu, ila mwili ni vile unavyouweka. Ukiamua kukaa bila ngono inawezekana sana japokuwa ule mwaka wa kwanza utapata tabu sana ila huo mwaka ukishaisha unaona kawaida sana.Duh miaka 8 hujaonamo!!!
utakuwa na wingu hatari....
Mazoeaaaa yana tabu.......Mbona nyie watoto waongo waongo sana? Hujatomba miaka 8 na unapima ngoma kila baada ya miezi sita! Hiyo ngoma unaipata kwenye menu?
Cc tumboo