Natafuta mwanamke mlokole

Natafuta mwanamke mlokole

kumbe unajua sana aiseee
huyo kijana ana matatizo ya kiakili ni bora aende kupimwa akili zimeshadata sasa
Bora urudi Jela!

Thread umekopi kutoka kwa hussein machozi na wimbo wake wa bora agende jeila!
 
Hii dunia ina mambo mengi watu huyapitia ambayo wasioyapitia huona kama vile wanaoyapitia wanaleta drama, usimuhukumu mtu na mapito yake,ukiweza mshauri ukishindwa pita uende.
 
Back
Top Bottom