Natafuta mwanamke MBUNGE awe mpenzi wangu

wabunge wanapenda sana miswaada. Hebu andika muswada wako kisha mpe yule mama wa kibena anayesema 'senkyo vele mache' ili aupitie, auhambue kisha awape na wamama wengine wausome.
Lakini hujasema kuwa watakupate? Atleast unge attach hata ka sanduku ka barua

Inaelekea wewe ndio uliandaa lile tangazo la fiesta ambalo yule mama anaweka hicho kibwagizo cha senkyo vele mache
 
Ule mkopo wa gari walishamaliza unajua. Sasa hivi salary slip zao zasoma negative.
 
Acha kupenda vya bure, mtoto wa kiume fanya kazi, sio kutegemea pesa za wabunge! Wengi wao wagonjwa, usije ukakanyaga waya wa umeme kabla ya siku zako aisee!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom