Natafuta Mwanamke Malaya Nimuoe

Hivi do you think kuna mwanamke kabisa atanivusha taji la umalaya?

No woman was born a whore. Kuna mawili, either ameamua ku solicit mwili wake ili mambo yaende out of desperation or alipotea njia once upon a time katika maadili ikampelekea kuwa hivyo.
 
HHa huwa na swali lao Moja, "utaniweza?" na kufwatia "nitabadilika" baada ya kumwambia unapesa ya kuhudumia, wao ni pesa tu. Sio mkuyenge, wengi niliowadadisi hawafurahii umalaya ila ni sababu ya hali ya maisha na familia zao...

Mi nakusapoti kwanza wao hakutakua na geni yoote wamefanya.
[emoji23] [emoji23]
 
Najaribu kuwaweka huru ili waache kujificha tunajua kuliko wanavyojua

wali nazi maharage nazi
 
Kweli unawajua aise

wali nazi maharage nazi
 
Nenda kwa wahaya pale m/nyamala hospital utapata mtt mkal tu tena mpaka tigo anatoa kiroho safi humu kila mtu atajifanya mwema
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…