Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,483
- 40,856
Anajua mme wake au bwana akeKwaiyo ata dada yako sio mwaminifu?
Kwaiyo ata dada yako sio mwaminifu?
Kwaiyo na wewe umekubari dada ako aolewe na bwana alafu pia mme?Anajua mme wake au bwana ake
wali nazi maharage nazi
Wasaalam members wote humu...rejea tangazo langu hapo juu.. baada kutafuta mwanamke mwaminifu na mcha mungu kwa muda mrefu na hatimaye imeshindikana kumpata kwa kizazi cha sasa..baada ya wengi kuiishia miaka ya 80. Sasa nimeamua kutafuta mwanamke malaya asiyeridhika na mwanaume mmoja ila asiwe na tamaa ya pesa asije nitoa tu roho yangu namuhitaji kwa ajili kufunga naye ndoa.
Mwanamke mwenye sifa tajwa ani PM kwa utekelezaji.View attachment 1063008
wali nazi maharage nazi
Yap si amekosa waaminifuunataka akamuoe dada ake?
Sent usingJamii Forums mobile app
HahahahaahhaahhaahKwa hiyo umesikia huku ndio kuna malaya?
Hapana mkuu najua humu wapo ila sio wote ila kama unasifa tajwa njoo PMKwa hiyo umesikia huku ndio kuna malaya?
Nawasubiri PMhumu kila mdada atajifanya ana tabia nzuri.. [emoji3]
Sent usingJamii Forums mobile app
Yap si amekosa waaminifu
[emoji847] sio kweli mkuu nipo seriousWewe sema unataka kujua Malaya ni wakina nani huku.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13].
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha haha kijijini kwetu hamna wenye sifa nataka wa humu we kama hauna sifa pita ivHata lipicha la pete ni la mtandaoni.. unajipaisha huku umejionyesha umejaa majanga.. katangaze pia kijijini kwenu upate twakimu huko kwanza.