Natafuta mwanamke bikira

Hapana zipo msimkatishe jamaa tamaa. Hiyo ndo kitu anataka na zipo. Mi simjui huyu jamaa vizuri tu ila ningemuunganisha na mtuwenye sifa aitakayo.
Mkuu ikikupendeza naomba hiyo koneksheni tafadhari.
 
Hapana zipo msimkatishe jamaa tamaa. Hiyo ndo kitu anataka na zipo. Mi simjui huyu jamaa vizuri tu ila ningemuunganisha na mtuwenye sifa aitakayo.
Hutataka pesa ya udalali endapo ukimuunganisha??
Tupe code zilipo hizo bikira.
Sisi wengine tunaona kama kusadikika kwa umri aliondika hapo juu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…