Natafuta mwanamke bikira

Haya ni maagizo ya mganga au?
Ukitaka bikra kawatafute vijijini ndani ndani bado wapo
 
Haya ni maagizo ya mganga au?
Ukitaka bikra kawatafute vijijini ndani ndani bado wapo
Na hivyo vijiji visiwe vya usukumani, nimekuja likizo huku.

Nina mdogo wangu nurse kwenye hospitali moja ya wilaya anasema ni kawaida mtoto wa miaka 16 kuja kujifungua mimba ya pili.

Sasa jiulize bikra ilitoka lini!!
 

kwaiyo una vipimo vya kuhakikisha au kila mwanamke utakua unamjaribu kwanza
 
Wewe mwenyewe ni bikra?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…