Kumbeee tupo wengi humu supai ndito sidaiUngetukumbuka na sisi wamasai kwenye kipaumbele cha kabila....
Kila la kheri.
Asante ukiwa na rafiki mwenye uhitaji kama wangu mfahamishe 👏🏼👏🏼Ungetukumbuka na sisi wamasai kwenye kipaumbele cha kabila....
Kila la kheri.
Shida inakuja kwenye kupasha viporo! At the beginning huwa wapole kama malaika na utasema mke ndio huyo yale aliyopitia ilikuwa bahati mbaya tu (mapito ya dunia) after a while - 2 to 3 years ndio utaijua rangi yake halisi, anarudisha majeshi kwa mzazi mwenzie kimya kimya kwa kigezo kuwa anampelekea mtoto na huyo ni mzazi mwenzie.Single maza tumesahaulika
Vya pombe umetutenga
Huwezi jua huenda Mungu ndio amekuongoza uwe wangu wa maisha ila hofu yako tu ya distance relationship. Ina maana ukiwa kanda ya ziwa huwezi olewa na mtu wa mkoa tofauti? Ikiwa nimekuoa kisha nakuambia my wife nimepata kazi ulaya tuhamie huko utakataa mke wangu?Ungekuwa Kanda ya Ziwa ningekaribia tatizo uko mbeya acha walio karibu na wewe wajaribu bahati zao mkuu.
Mfano ;Shida inakuja kwenye kupasha viporo! At the beginning huwa wapole kama malaika na utasema mke ndio huyo yale aliyopitia ilikuwa bahati mbaya tu (mapito ya dunia) after a while - 2 to 3 years ndio utaijua rangi yake halisi, anarudisha majeshi kwa mzazi mwenzie kimya kimya kwa kigezo kuwa anampelekea mtoto na huyo ni mzazi mwenzie.
Hata umpe kila kitu still atarudi tu kwa mzazi mwenzie , hapo ndio shida ya singo maza ilipo. Otherwise huwa ni wake wazuri sana maana wamepitia mengi and they know how to handle husband ..shida ni akikumbuka tu utamuu wa mzazi mwenzie
Ungetukumbuka na sisi wamasai kwenye kipaumbele cha kabila....
Kila la kheri.
Single mother ni mke wa Baba ya mtoto wake. Damu milikiSingle maza tumesahaulika
Mie nipo Tarime tuyajenge.Ungekuwa Kanda ya Ziwa ningekaribia tatizo uko mbeya acha walio karibu na wewe wajaribu bahati zao mkuu.
Una hofu ya Mungu lakini unakunywa...Kichwa cha habari chahusika.
Natafuta mwanamke mwenye uhitaji wa kuwa na mwanaume kwa malengo ya ndoa na kujenga familia bora.
Sifa za huyo mwanamke :
1. Awe mwenye hofu ya Mungu
2. Awe KABILA LOLOTE LILE
3. Umri kuanzia miaka 22 - 35
4. Asiwe single maza
5. Elimu yake iwe kuanzia form iv
6. Awe mwajiriwa au amejiari / mjaririamali
7 . Awe tayari kupima HIV
8. Asiwe mlevi / chapombe
Sifa zangu.
1. Nina hofu ya Mungu
2. Umri miaka 36
3. Elimu ya chuo kikuu
4. Nina kibarua kinaniweka mjini
5.Sio mlevi but sometimes nakunywa
6. Nipo tayari kupima HIV 24/7
Kwa mwenye sifa karibu tuyajenge.
ASANTENI NA KARIBUNI SANA
Mfano ;
single mama huyo ana mtoto walietengana na baba wahuko mtoto toka mtoto akiwa na miezi 5 tu mpaka leo mtoto anamaliza STD 7 hawajuani na wala kujua huyu yuko wp wala yule yuko wp nimama tu kafaiti kutoka mtoto miezi 5 mpaka sasa miaka12 ,SIO KILA MAMA MWENYE MTOTO MNAFIKIRI ANAKUWA NA MWENDELEZO NA HUYO BABA WA MTOTO!!!!
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Una hofu ya Mungu lakini unakunywa...
Kila la heri mkuu.
La saba "A" umetutenga