cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 122,266
- 201,315
๐๐๐๐๐Wanawake wa huku walivyobusy kuuza parachichi na ndizi ,sijui..
๐๐๐๐๐Wanawake wa huku walivyobusy kuuza parachichi na ndizi ,sijui..
Nadhani utakuwa unatania.hiv ni kweli wanawake wanaweza tafutwa kwa njia ya mtandaoMimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 34, ninaishi Mbeya. Natafuta mwanamke mwenye umri kati ya miaka 30 hadi 34, awe mkazi wa Mbeya na asiwe na watoto zaidi ya wawili.
Awe tayari kuishi nami endapo tutafikiana.
Aliyetayari anaweza kuwasiliana nami kwa mazungumzo zaidi.