msafwa93 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 4,840 Reaction score 6,148 Apr 28, 2019 #1 Habari wakuu.. Kama kuna mtu anasoma IFM nina shida fulani nahitaji kuuliza,.. Naomba acoment nimfuate dm au ani dm..
Habari wakuu.. Kama kuna mtu anasoma IFM nina shida fulani nahitaji kuuliza,.. Naomba acoment nimfuate dm au ani dm..
so law Senior Member Joined Dec 24, 2018 Posts 101 Reaction score 269 Apr 28, 2019 #2 Be free hili ni jukwaa la elimu Weka shida yako Mbona utasaidiwa tu na utashangaa, hcho unachotaka uambiwe ww peke yako PM Si ajabu Ukiweka wazi wengi watanufaika.unless kama unatafuta DANGA lenye hadhi ya KIPROFESA
Be free hili ni jukwaa la elimu Weka shida yako Mbona utasaidiwa tu na utashangaa, hcho unachotaka uambiwe ww peke yako PM Si ajabu Ukiweka wazi wengi watanufaika.unless kama unatafuta DANGA lenye hadhi ya KIPROFESA