Natafuta mwalimu wa quickbooks

Kisiwa

Senior Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
127
Reaction score
20
Natafuta mwalimu wa kunifundisha kutumia quickbooks, nipo mwanza.

Awe mtalaam au ana uzoefu tu wa kutumia software hii. Kwa aliyeko mwanza au mikoa ya jirani naweza nikamfuata au akaja ofisini kwetu. Kwa mtu wa dar naweza kuja au akanifundisha online.

MALIPO

Kama utanifuata ofisini utalipwa posho ya kujikimu kwa siku tutakazo kubaliana kwa rate ya serikali, nauli ya basi na gharama za taxi. Kama nitakufuata au utafundisha online, tutakulipa consultancy fee ambayo ni makubaliano.

Ningependa nipate hasa ambao wanaitumia software hii ofisini kwao Kama upo interested acha mawasiliano hapa (simu, email, n.k) au nitumie private message maarufu kama PM

KARIBUNI
 
Mi ni mtaalam sana wa quickbooks naitumia tangu mwaka 2009, nimeshatengeneza database katika taasisi nyingi, Nipo mwanza nipigie 0759662592
 
Mi ni mtaalam sana wa quickbooks naitumia tangu mwaka 2009, nimeshatengeneza database katika taasisi nyingi, Nipo mwanza nipigie 0759662592

Nashukuru mkuu, nitakupigia
 
Poa mkuu asante kwa taarifa, ngoja nikutafutie wateja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…