Natafuta Mwalimu anayefundisha Lugha ya alama

Natafuta Mwalimu anayefundisha Lugha ya alama

Mtundu wa Tech

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2019
Posts
644
Reaction score
614
Mwalimu yeyote anayefundisha lugha ya alama yaani sign language.

Awe mkaazi wa Dar, nahitaji mawasiliano nae ili nami nijifunze lugha ya alama. Aje inbox nimpe namba yangu tuwasiliane Whatsapp na tujue tutaonana wapi na muda ambao atakua free.

Maana nahitaji sana nijifunze kwa mtu binafsi kwanza kabla sijaenda chuo chochote kujiendeleza.

Nitashukuru sana pia hata kama kuna mwalimu au mtu yeyote ni mtaalamu wa lugha ya alama niunganishe au nipe contact zake inbox [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Sipo Dar ningekusaidia
Screenshot_20210725-081353_1.jpg
 
Back
Top Bottom