Natafuta muwekezaji katika biashara yangu

Tripp

JF-Expert Member
Feb 2, 2018
899
1,543
Habari jamii mimi ni kijana wa kitanzania nafanya biashara ya production yenye huduma za picha mnato , video kwenye sherehe pamoja na photoshop pia ofisi yangu inajihusisha na kuweka software pc na simu ila kati niliumwa sana na kupotea ofisini kama miez 2:nimepona nimekuta ofisi yangu imefungwa sababu ya kodi nadaiwa miez mitatu na pia mimi sina pa kupata pesa hivyo natafuta mtu ambae anaweza kutoa pesa na kuongezea mtaji na kila mwezi akawa anapokea kiasi cha pesa si chini ya laki 4 kwa makubaliano ya kisheria ....ofisi ipo tabata barakuda na kampuni inawateja wa kutosha...


Asante
 
Unatakiwa kampuni iwe na mipango endelevu sio ukiumwa wewe kampuni haizalishi hili liangalie vizuri maana hsliko sawa!
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom