Natafuta muuza spare za ford

Natafuta muuza spare za ford

OME123

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
1,497
Reaction score
606
Habari za jioni, natafuta spare za gari za ford km unauza naomba unicheki tufanye biashara. Aksante
 
Kuna kijana mmoja yuko Arusha, mtaalamu wa magari yote, anajua machimbo yote ya spare, alinisaidia kwangu kwa ford explorer
 
Kuna mwanangu wa kuitwa Jerry yupo Moro ana ka ford focus chake kakipaki mwaka wa nne huu kisa eti funguo gafla tu inagoma kupiga stata,kazunguka weee kwa wachongesha funguo hola,kaambiwa gharama yake ya kuichongesha sijui huko kiwandani China ni mil3 kasanda kakisusa kigari chake kmmmke,hizi gari hiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Spare zake zinachangamoto kuzipata
 
Back
Top Bottom