Mkuu DUKA liko sehemu ganiNinahitaji muuza duka la vitu vidogo vidogo.
Sifa na masharti:
atalala kwangu
Awe msichana kutoka Rombo .Asihofu nina mke na watoto.
kuanza kazi saa 2 asubuhi mpaka saa 3 usiku
Jumapili kuanzia saa sita mchana mpaka saa tatu.Jumapili moja kwa mwezi atapumzika.
Mshahara kati ya 50,000 na 70,000
Aliye serious atume message kazi kwenda 0755 489 473
Biashara ipo wapi mkuu?70000? Ahahaha me natafuta wa kuniuzia duka la nguo za kike nina wiki ya tatu na mshahara wangu ni 130-150 na sijapata ndg ukipata nitonye
Kwa mshahara huo pa kulala ni juu yake?70000? Ahahaha me natafuta wa kuniuzia duka la nguo za kike nina wiki ya tatu na mshahara wangu ni 130-150 na sijapata ndg ukipata nitonye
Mm natafuta kazi ya duka mkuu70000? Ahahaha me natafuta wa kuniuzia duka la nguo za kike nina wiki ya tatu na mshahara wangu ni 130-150 na sijapata ndg ukipata nitonye
Sinza mugabe/yap nahitaj mtu anayeishi kwao maana anayejitegmea atanifilisi maana ntakuwa namuonea huruma hela haitoshi na kumpa viposho na hiyo itanifilisiBiashara ipo wapi mkuu?
Kwa mshahara huo pa kulala ni juu yake?
Mm natafuta kazi ya duka mkuu
Me ni kuletee ila chakula umnunulie na nauli Tsh1000/=per day uko tiari nitafute 0759449574Kwa mshahara huo pa kulala ni juu yake?
Nikuletee mkuu?70000? Ahahaha me natafuta wa kuniuzia duka la nguo za kike nina wiki ya tatu na mshahara wangu ni 130-150 na sijapata ndg ukipata nitonye
Hapana mkuu sio sasa hivi.Me ni kuletee ila chakula umnunulie na nauli Tsh1000/=per day uko tiari nitafute 0759449574
Hapana mkuu sio sasa hivi.
Malipo kiasi ganmkuu wa duka mm nipo town hapa maabibo tuwasiliane bas 0657015929 tufanye kazi
ongea na mimi ninamdogo wangu ambaye naamini anaweza akakusaidia!Sinza mugabe/yap nahitaj mtu anayeishi kwao maana anayejitegmea atanifilisi maana ntakuwa namuonea huruma hela haitoshi na kumpa viposho na hiyo itanifilisi