Huwa nashangaa sana kuona msichana tena mkristo kama huyu anakaa nakuchukua Simu yake na kuandika eti anatafuta mume lol!! Kweli hofu ya Mungu imetoweka na tumemsahau sana Mungu kumuona kwamba yeye hawezi kutusaidia kitu chochote, kwamaana kama we we in mkristo kweli ungepiga magoti na kumuomba Mungu akupe mume mwema kwa imani na kumaanisha unajua hata zile amri za Mungu tumesahau ndio maana hata tunazini kwanza and then baadae tunasema au tunamuomba Mungu atupe mume, ndio sisi binadamu hatujakamilika ila tunaweza kuomba toba na kwa swala kama hilo ni kumuomba mungu akupe au akukutanishe na yule aliyekupangia kuishi nae na sio kujitangaza kwenye media kiivyo huko ni kujiuza naweza sema na sio kutafuta mume, mume hatafutwi kwenye mitandao...
Habari zenu wanajamvi,
Mimi ni mdada wa miaka 27 ,mkristo,nipo Arusha,elimu yangu ni kidato cha nne,nimeajiriwa serikalini. Natafuta mume kuanzia miaka 30-36,mkristo,awe na kazi au biashara ya kuweza kujikimu kimaisha.
Aliye tayari tuwasiliane.

Tatizo lenu mnatafuta mume mtadhani mnatafuta business partner.
Ondoeni hayo masharti yenu bana. Naomba nikutumie pm ingawa hivyo vigezo sina ila nina uwezo wa kukutunza vzr kabisa na ukafurahia maisha.
Njoo PM
mmh Mkuu hata huku
Huwa nashangaa sana kuona msichana tena mkristo kama huyu anakaa nakuchukua Simu yake na kuandika eti anatafuta mume lol!! Kweli hofu ya Mungu imetoweka na tumemsahau sana Mungu kumuona kwamba yeye hawezi kutusaidia kitu chochote, kwamaana kama we we in mkristo kweli ungepiga magoti na kumuomba Mungu akupe mume mwema kwa imani na kumaanisha unajua hata zile amri za Mungu tumesahau ndio maana hata tunazini kwanza and then baadae tunasema au tunamuomba Mungu atupe mume, ndio sisi binadamu hatujakamilika ila tunaweza kuomba toba na kwa swala kama hilo ni kumuomba mungu akupe au akukutanishe na yule aliyekupangia kuishi nae na sio kujitangaza kwenye media kiivyo huko ni kujiuza naweza sema na sio kutafuta mume, mume hatafutwi kwenye mitandao...
Habari zenu wanajamvi,
Mimi ni mdada wa miaka 27 ,mkristo,nipo Arusha,elimu yangu ni kidato cha nne,nimeajiriwa serikalini. Natafuta mume kuanzia miaka 30-36,mkristo,awe na kazi au biashara ya kuweza kujikimu kimaisha.
Aliye tayari tuwasiliane.
Kutafuta "mume"nowdays imekuwa kama kutafuta "smartsphones" tena za tecno na Huawei