Habari zenu wanajamvi,
Mimi ni mdada wa miaka 27 ,mkristo,nipo Arusha,elimu yangu ni kidato cha nne,nimeajiriwa serikalini. Natafuta mume kuanzia miaka 30-36,mkristo,awe na kazi au biashara ya kuweza kujikimu kimaisha.
Aliye tayari tuwasiliane.
Tatizo wengi ni matapeli sana huku hata ukimpata kuwa nae makini wengi wamelizwa sana huku sio mahali pa kupaamini sana kuwa makini na utakayempata kila la kheri
Habari zenu wanajamvi,
Mimi ni mdada wa miaka 27 ,mkristo,nipo Arusha,elimu yangu ni kidato cha nne,nimeajiriwa serikalini. Natafuta mume kuanzia miaka 30-36,mkristo,awe na kazi au biashara ya kuweza kujikimu kimaisha.
Aliye tayari tuwasiliane.
[/QUOTE mambo mrembo
Mbona unajidhalilisha utu wako.Kwa nini unajiweka sokoni kama bidhaa isiyo na thamani?.Kumbuka wewe ni wa thamani na Mume mwema utapewa na Mungu..Acha kudhalilisha utu wa mwanamke