kiraia
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 1,717
- 1,012
Mbona unajidhalilisha utu wako.Kwa nini unajiweka sokoni kama bidhaa isiyo na thamani?.Kumbuka wewe ni wa thamani na Mume mwema utapewa na Mungu..Acha kudhalilisha utu wa mwanamke
Toka nje ya box, tulivyokua tunaandika barua kutongoza na sisi tulikua tunajiuza au ni ile kukariri kwamba mwanamke hatakiwi kueleza anachojiskia?