Salama Jay
Senior Member
- Oct 24, 2013
- 131
- 68
- Thread starter
-
- #21
na mie nataka mke lakini asiyependa kiswanglish anayethamini lugha ya Taifa
Weka picha jinga wewe
kwani kulikuwa na ulazima wa kutaja kabila lako!?
Hujui kuwa wengine tuna aleji na hayo makabila!
kwanin wahaya hamuwez kuaongea /kuandika bila kuchanganya lugha! Au ndo kuonyesha umshomire huo.!
Kama uko serious kweli weka picha yako
Body without head
Weka picha jinga wewe
Umeshapata bado pm hazija jaa tu..
Sasa wewe umejiweka kundi gani maana naona wewe ndo poyoyo!Weka picha jinga wewe
kulikua na ulazima gani ujibu..sasa ungeenda kwa wale waliondika kiswahili..ndo nilivyo and i wnt change.!
Kwa sifa hizo labda umchonge kwa fundi seremala
Nafuu mgogo kuliko wahaya wanavyosifika..