Natafuta mume

Duuh we mhaya !?.Noo hapo umearibu kabisa. Hawa watu wanadharau sana na mijigabo sana
 
ni pm tafadhal
 
Mme hatafutwi bana Mme anachaguliwa, wee sema unatakafuta mwanaume wa kufanya nae anasa tu!
 
Duuuh mhaya!!? Kama hauna masifa basi utaolewa ila nyie mna mashauzi sana wahaya then papuchi zenu zinaliwa na kila mtu.
Just joking wajameni
 
Mm nina kila kitu unachokitaka ila je ww una kila kitu ninachokitaka mm.... tuwasiliane pm sasa
 
me me labda uje niwe napiga kisela tu
fresh...tena najua upo moro na me me npo hapo hapo
waoaj washa isha ....... Hope request yangu itazngatiwa from jogoobasha
 
Last edited by a moderator:
me me labda uje niwe napiga kisela tu
fresh...tena najua upo moro na me me npo hapo hapo
waoaj washa isha ....... Hope request yangu itazngatiwa from jogoobasha

Kampige dadako.!
 
Last edited by a moderator:
Mm nina kila kitu unachokitaka ila je ww una kila kitu ninachokitaka mm.... tuwasiliane pm sasa

Wacha uongo kaka mkubwa, yule shemeji yetu ulieoa juzi mshaachana kwani?

Na vipi yule mchepuko nliekukuta nae siku ile Coco Beach?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…