Natafuta Mume

Awe muaminifu wakati ulishindwa kuwa muaminifu ktk subira ili upate mume muanze wote maisha!

Acha masihara basi.
😀 mbona kama unamuhukumu, Je what if kama yeye ndiye aliyedanganywa na baba watoto wake, kisha akakimbiwa akaachiwa watoto.

What i mean is, "break-up inaweza kusababishwa na jinsia yoyote, inaweza kuwa mwanaume au mwanamke "
 
mwaka 2024 ulitutangazia unatafuta mume mcha Mungu, na ukadai wewe ni 24 yrs.

ila leo ni 2026 (two years later) unadai upo na miaka 36 (au ni typing error?) 🤔

based on this trend, i bet two years later (2028) utarudi tena kutafuta mume, ukiwa na mtoto mwingine.
 

Attachments

  • WA_1772392079370.jpeg
    90.7 KB · Views: 5
Mtuu asiitwe pilikapilika kwa amani ☺️
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…