Natafuta mume

Hebu tuambie kwanza ilikuwakuwa vipi ukazaa huyo mtoto
Na vipi baba mtu yuko wapi
 
Mimi nipo tayari baby ila sina kipato cha kutosha
 
ungekuwa muislamu @ mshana jr hana baya....
 
Unapenda Kulea Yatima? Yupo ndugu wangu Anaweza Kufaa Ni Mpole Mtu mwenye Upendo ila anapenda kuishi na Watoto wenye mazingira Magumu. Umri ni 40s. Kama upo interested nicheki inbox
 
1.Mwenye hofu ya Mungu
2.Mwenye upendo wa dhati
3.Mwenye kipato cha kutosha kuhudumia familia
SASA MBONA UNATAFUTA WANAUME WATATU TOFAUTI?
 
Sawa
 
Sawa
 
Huyo shida yake pesa siyo upweke
 
Wenye kipato wameshachukuliwa.
Wewe tafuta aliyemaliza chuo kikuu na anatafuta kazi.
Utanishukuru.
HIVI WANAWAKE MNATUONAJE?
UMRI UMEENDA
UNA MTOTO NA BABA YAKE YUPO
UNATAFUTA MWANAMME MWENYE KIPATO KIZURI, MWENYE IMANI YA DINI, AMBAYE HAJAOA. MREFU, SMART.UMRI 34 PLUS
Mwanaume mwenye sifa hizo ana tatizo gani hadi aoe singo mum?
Ndugu zake si wataona karogwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…