Natafuta mume

Lilian85

Member
Nov 15, 2021
22
13
Habari zenu JF users,

Mimi ni mwanamke miaka 33, ni mkristo. Niko hapa jukwaani kutafuta mwanaume mwenye kujitambua.

Itapendeza umri kuanzia miaka 33, awe mkristo na mwenye hofu ya Mungu.
Akiwa na mtoto/watoto wasizidi wawili.
Awe mkweli.
Awe anatambua nafasi yake.

Mwenye uhitaji karibu inbox
 
Wewe unajitambua? una hofu ya Mungu? una watoto wangapi?

Unamaanisha nini unaposema anatambua nafasi yake ilhali bado yuko nje yako.....kutambua nafasi is relative. inategemeana na patner yukoje
 
H
Habari zenu JF users,

Mimi ni mwanamke miaka 33, ni mkristo. Niko hapa jukwaani kutafuta mwanaume mwenye kujitambua.

Itapendeza umri kuanzia miaka 33, awe mkristo na mwenye hofu ya Mungu.
Akiwa na mtoto/watoto wasizidi wawili.
Awe mkweli.
Awe anatambua nafasi yake.

Mwenye uhitaji karibu inbox
Hofu ya Mungu ndo nini? We ungekuwa na hofu ya Mungu si ungeshapata wa kukuoa? Maana kutoolewa ujuwe ni ujeuri na Mungu hapendi mambo hayo.. ✋✋
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom