Natafuta mume

Wewe unajitambua? una hofu ya Mungu? una watoto wangapi?

Unamaanisha nini unaposema anatambua nafasi yake ilhali bado yuko nje yako.....kutambua nafasi is relative. inategemeana na patner yukoje
Hutakiwi kuhoji sana wewe si muhusika
 
H

Hofu ya Mungu ndo nini? We ungekuwa na hofu ya Mungu si ungeshapata wa kukuoa? Maana kutoolewa ujuwe ni ujeuri na Mungu hapendi mambo hayo..
Hata wewe kumkadiria mtu tabia kama vile wamfahamu sana nayo Mungu hapendezwi.inaonesha tu si msafi wa moyo
 
Naona ameingia mitini.Inaonekana ulikuwa una test mitambo uone mwitikio utakuwaje.
Ongeza ongeza nyama katika maelezo yako ueleweke vizuri na ujibu maswali uliyoulizwa.
Im not here to test anyone.No one directed me to come with this thread.
 
nisingependa ku generalize lakini, experience yangu na wanawake karibia wanane waliokuwa wakitafuta wapenzi humu jf ni kwamba, WOTE WANA SURA NA MAUMBO MABAYA!!
sorry!
Uzuri wa mtu uko machoni kwa mtu kwako mbaya kwa wenzako mzuri,in short usichokitaka wengine wanakithamini.How will you feel mtoto wako wa kike akiwa disvalued kama hivyo.Malipo hapa hapa duniani mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom