kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,351
- 12,686
Kunywa oil mkuu. Utakuwa tu mweusi automaticallyHiki kitambi hiki, inabidi niende gym kwa kweli, halafu wadau hakuna namna mtu anaweza kuwa mweusi??
Vigezo vinatukosesha wake
Kunywa oil mkuu. Utakuwa tu mweusi automaticallyHiki kitambi hiki, inabidi niende gym kwa kweli, halafu wadau hakuna namna mtu anaweza kuwa mweusi??
Vigezo vinatukosesha wake
Anamaanisha awe anamfikisha pale kibo na mawenzi mzee!Sifa zote ninazo,
Ila mimi ni mwembamba lakini mwili upo kimazoezi
FAFANUA HAPO KWENYE KUUTUMIA VIZURI UANAUME WAKE
Kwa kwa kwa kwaKunywa oil mkuu. Utakuwa tu mweusi automatically
Bebe umepata wangapi Hadi Sasa?Ngoja nikaifungue
Hivi mdogo wangu ulipata hitaji la moyo wako?

umeuliza kinyonge Sana mkuuNtawahi hiyo fursaOooh, poa poa mkuu, nakuja na Uzi wangu nahitaji mwenye sifa kama zako![]()
![]()
Ayaaaaa! Namimi nimekosa Sasa..ujue nilikua nakutegemea upate wawili unigawie mmoja..Hata mmoja![]()

Uliowapa vipaumbele hawajaja? Wengine tuanze kujaHata mmoja![]()
Ngoja nije boxNdiwooooo
Kwann tena mkuu mbona unanitisha![]()
hata siyo fursa mkuu usije juta buree
Haupo serious mku pm umepiga kufuli ndo maana hawajajaNdiwooooo
Yeyote mradi ujuwe kutafuta pesa, sio kukaa na kulia lia tu