Natafuta mume

Natafuta mume

Attachments

  • Screenshot_2019-09-01-11-18-11.png
    Screenshot_2019-09-01-11-18-11.png
    26.3 KB · Views: 26
Light skin/ maji ya kunde tukae pembeni... Halafu umri umeuanzia mbali miaka 32..
 
Dah... sifa zote ninazo... Ila hapo kwenye elimu ndiyo nimefeli
 
Salaam kwenu.,,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambae atakuja kuwa mume wangu.
Vigezo ;
Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele,
Asiwe na kitambi,
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake,
Elimu yoyote Ile,


Sifa za mimi:
Mweusi,
Mwembamba,
Sina matako makubwa,
Elimu la saba,
Sina mtoto.

Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26

Aliye tayari kuanza maisha mapya aje pm


Ahsanteni sana
Wewe sema bei gani ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom