Ni pmWengi mnauliza dini,Mimi ni mkristo.
Sijachelewa Joseverest: na mimi nasubiri nione Waje mkuukila la heri bibie...ngoja waje

hahaha wameshaenda boss nadhaniSijachelewa Joseverest: na mimi nasubiri nione Waje mkuu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
AiseeUmesahau na hii,
Bado upo kwa wazazi na hakuna kuduu mpaka ndoa.
Yaani kujiunga tu jf unatafuta MUME. Unatafuta MUME Au gay mwenzioHabari,
Najitokeza kutafuta mwanaume aliye serious,ninahitaji mume.
-Nina miaka 28
-Nina mtoto mmoja
-elimu degree moja(IT)
-muajiriwa
Aliye tayari ani pm.
Uko wapi kwani?Habari,
Najitokeza kutafuta mwanaume aliye serious,ninahitaji mume.
-Nina miaka 28
-Nina mtoto mmoja
-elimu degree moja(IT)
-muajiriwa
Aliye tayari ani pm.