Natafuta mume

Natafuta mume

Habari,
Najitokeza kutafuta mwanaume aliye serious,ninahitaji mume.

-Nina miaka 28
-Nina mtoto mmoja
-elimu degree moja(IT)
-muajiriwa

Aliye tayari ani pm.
Bbie,labda bado kabila lako na mkoa uliopo kwa sasa -kamilisha na hapo! .
 
Aisee..... Ngoja ni-slide pm hata kwa majaribio
 
Mama tatizo sijapata ajila kama uko tayari niambie nije Pm
 
Habari,
Najitokeza kutafuta mwanaume aliye serious,ninahitaji mume.

-Nina miaka 28
-Nina mtoto mmoja
-elimu degree moja(IT)
-muajiriwa

Aliye tayari ani pm.
Baba mtoto alishafariki au yupo hai..???

Why alikutosa kuna jambo tuanzie hapo..!
 
Namalizia kazi zangu za kilimo nikitoka tu naenda Bank labda unambie nikukute pande zip ili tuzungumze kidogo.
Ila shart uwe cheupe c unajua sie tunaotokea kanda ya ziwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom