NAMBA AKO PLZMimi ni binti wamiaka 24, elimu yangu ni diploma ya nursing nimejitokeza kwenu wanajamii, nilikuwa natafuta mume aliyeko siriaz na ndoa na sio kuumizana,
sichagui dini lakini awe anajishughulisha na shughuli yoyote ya kumuingzia kipato pia anizidi umri kuanzia miaka 25 kuendelea.
Aliyeko tiyari naomba uje pm tuzungumze.
Note; Utani siitaji kwa sababu nipo siriaz zaidi mnavyofikiria