Natafuta mume

Na mimi natafuta Mke ila wakiislamu... haya maisha bwana huenda ukawa na happy life na yule msioendana kiimani....
 
Wala c kweli kuwa wanaume/vijana wa kiume .... wanawake/vijana wa kike wote wapatikanao ktk nyumba za ibada ni wenye HOFU YA MUNGU ...

Wengi leo wamefanya nyumba za ibada kama MAFICHO .... ni mbwa mwitu walojivika ngozi za kondoo ...
 
Kuanzia umri gani matakwa yako?
 
Yaani umekosa wanaume wote hao waliopo kanisani kwenu uko kweli? ?
haya makanisa mengi ya kilokole hakuna wanaume wenye kazi za maana. sasa na wanawake wengi wanataka kitonga wanawaona waumini wenzao kama choka
 
Walio okoka huwa hawatafutagi wenzi wa maisha yao kwenye mitandao ya kijamii! Utakuja kuolewa na jini!!!!
 
Naanza kwa kutoa hongera kwa mtoa post "You're so courageous" .... remain firm and adhere to whatever you believe, if your belief is sincere .....

Na kwetu sisi wachangiaji .....

So many of the comments concerning the above Zilakina's post reveal how IMMATURE many of us are ......

Why don't we prove our MATURITY in both physically and mentally for whatever comes from our mind? ...

Miaka 31 ina tatizo gani? ...eti ni mzee ... are you thinking positively? ..... we're only thinking and uttering NONSENSE .... tutabadirika lini?

Ni imani yangu muhusika ametaja miaka yake ili afahamike ana umri gani sababu wengi wangehitaji kufahamu kama acngetaja .....

But to my surprise the age of hers has now become an issue ..... tangu lini miaka ya mtu ikawa kigezo/kipimo cha MATURITY yake? ....

Je Maisha yetu ya kimahusiano yahitaji UMRI wa mwenzi wako ama MATURITY ya wahusika na jinsi ambavyo pana MUTUAL UNDERSTANDING kati yao?

Kwangu UMRI si kigezo .... but simaanishi kila msichana/mvulana hata alo chini ya ADULT AGE anaweza kuwa PARTNER ... La hasha ......
Adult age yajulikana kisheria .... yeyote ktk umri huo apimwe MATURITY yake na kama anakidhi apewe nafasi ....

Note: .... Very important of all let's forget not about FEARING THE ALMIGHTY GOD .... here is where our TRUE BLESSINGS comes from ....
 
Pokea hitaji lako kadri ya imani yako
 
Hebu tumA kwanza picha ya papuchi yako tuone Kama haina sugu maana wanachuo nawaogopa kweli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…