Sasa kama unampenda Yesu kwanini unataka kuolewa na mwanaume binadamu? Yesu atosha!!!Habari,
Mim ni msichana 31 natafuta mume wa kunioa. Nimeokoka na mpenda Yesu, sina mtoto nina elimu ya chuo kikuu ila nimejiajiri mwenyewe nafanya biashara.
Sifa za mume awe na hofu ya Mungu na kuishi katika njia zimpendazo Mungu, awe amejiajiri au anafanya kazi.
Karibu pm kwa maelezo zaidi.
Itabidi nifunge kwa kukuombea si kwa upole huoUmbea hauna posho...
Umbea hauna poshoItabidi nifunge kwa kukuombea si kwa upole huo
Nimeamini shetani akizeeka anakuwa malaikaUmbea hauna posho
Umbea hauna poshoNimeamini shetani akizeeka anakuwa malaika
OBSERVATION WITH NO FACTS NI SAWA NA BURE,HATA SIKU UNATENDWA UTASEMA WANAUME WOTE TABIA NI SAWA KITU AMBACHO SI KWELIMy observation only and I stand corrected
but mind you hapa we are so free to say whatever we feel like. I don't see any logic kunishambulia.OBSERVATION WITH NO FACTS NI SAWA NA BURE,HATA SIKU UNATENDWA UTASEMA WANAUME WOTE TABIA NI SAWA KITU AMBACHO SI KWELI
wapi nilipokuattack au maandishi yangu yamekudhuru au hujanielewa nini nimemaanisha?but mind you hapa we are so free to say whatever we feel like. I don't see any logic kunishambulia.
anyway whatever you wanna say to me feel free to say it. I will take them and dissolve them whenever possible.
karibu sana.
attacks zinatofautiana mkuu, wkt mwingine mutu isipoelewa inakuwa attacks vile vile. so jst understand me that way kwamba umeni attack.wapi nilipokuattack au maandishi yangu yamekudhuru au hujanielewa nini nimemaanisha?
nenda PM hapa hakuna desturi ya kuweka pichaWeka picha na majibu yako ya H.I. V naamini utapata tu wadau wapo..
ha ha haya mwanajamii kwa kutuliza mpira wanguattacks zinatofautiana mkuu, wkt mwingine mutu isipoelewa inakuwa attacks vile vile. so jst understand me that way kwamba umeni attack.
Pamoja, ucjali uwe na amani kuu.ha ha haya mwanajamii kwa kutuliza mpira wangu
Baada ya ajira kuwa ngumu.... naona ajira pekee zinazotangazwa ni za namna hii.Habari,
Mim ni msichana 31 natafuta mume wa kunioa. Nimeokoka na mpenda Yesu, sina mtoto nina elimu ya chuo kikuu ila nimejiajiri mwenyewe nafanya biashara.
Sifa za mume awe na hofu ya Mungu na kuishi katika njia zimpendazo Mungu, awe amejiajiri au anafanya kazi.
Karibu pm kwa maelezo zaidi.
nawe piaPamoja, ucjali uwe na amani kuu.
Anhaaaa.... kumbeeee...My observation only and I stand corrected
Nashangaa hunipi heshima yangu...Babu umezeeka kwa kweli.
Nimeona ile anniversary nikasema kweli babu yangu umetepeta