Natafuta mume

Natafuta mume

zilakina

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2011
Posts
293
Reaction score
77
Habari,

Mim ni msichana 31 natafuta mume wa kunioa. Nimeokoka na mpenda Yesu, sina mtoto nina elimu ya chuo kikuu ila nimejiajiri mwenyewe nafanya biashara.

Sifa za mume awe na hofu ya Mungu na kuishi katika njia zimpendazo Mungu, awe amejiajiri au anafanya kazi.

Karibu pm kwa maelezo zaidi.
 
Habari,mm ni msichana 31 natafuta mume wa kunioa .Nimeokoka na mpenda Yesu,Sina mtoto nina elimu ya chuo kikuu ila nimejiajiri mwenyewe nafanya biashara.Sifa za mume awe na hofu ya Mungu na kuishi ktk njia zimpendazo Mungu,awe amejiajiri au anafanya kazi.Karibu pm kwa maelezo zaidi.
Unakaa mkoa gan
 
Mungu atakusaidia usichoke kuomba sawa dada!
 
Habari,mm ni msichana 31 natafuta mume wa kunioa .Nimeokoka na mpenda Yesu,Sina mtoto nina elimu ya chuo kikuu ila nimejiajiri mwenyewe nafanya biashara.Sifa za mume awe na hofu ya Mungu na kuishi ktk njia zimpendazo Mungu,awe amejiajiri au anafanya kazi.Karibu pm kwa maelezo zaidi.
Mungu na afanikishe hitaji la moyo wako. Mwamini atakutimizia.
 
Mim ninabiashara Nina miaka 22 bado mbichi ñjooo ni mkristu mim
 
Mimi sijaokoka lakini nataka mke aliesoma na mwenye hela, japokuwa nina chanji kidogo nataka asaidie kuongeza kipato kwenye ufalme wangu
 
hahahahahhahaha kweli hv huko mtaani umekosa kabisa.

am sorry kama nitakukwaza ila hapa watakudanganya aisee.

all the best
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom