Weka kapicha basiMimi ni mwanamke wa miaka 28, nina mtoto, ni mwajiriwa natafuta mwanaume wa maisha yangu awe mkristo miaka 30-36, mwenye ajira, mwenye hofu ya Mungu.Nimechoka kuumizwa.
Ukiona haikuhusu potezea sio kuandika matusi.
"Oa mwanamke ambaye hajazalishwa na mwanaume mwenzio, "Suala la wanawake kuzaa kabla ya ndoa limepamba moto kweli kweli!
Saaafi sana kwa kumbukumbu nzuri,hawa ndio matapeli wenyewe!hata enzi za Kim2 alikuwa anajifanya anatafuta mchumba...nashukuru umemuumbua2013 ulikuja hapa jukwaani ukitafuta mme leo nako umerud pole sana dada yangu japo vigezo sina
"..Naona wafanya biashara hapa hatuna chetu"Mimi ni mwanamke wa miaka 28, nina mtoto, ni mwajiriwa natafuta mwanaume wa maisha yangu awe mkristo miaka 30-36, mwenye ajira, mwenye hofu ya Mungu.Nimechoka kuumizwa.
Ukiona haikuhusu potezea sio kuandika matusi.
Najua utarudi na majibu kuwa umelizwaIngia pm
Ni tapeli ndio maana anaona unamuharibiambona mkali dada, kwa staili hii wadau watakuumua tu
Kwani nyie Ndo wenye hisia pekeenuu??? Tutawatafuta tuuuMwanaume anatafuta, hatafutwi.
Mzee wa dyu dyu... Kumbe unazitafuta mwnyw, ndo mana unakutana na ambazo hakidhiKwani nyie Ndo wenye hisia pekeenuu??? Tutawatafuta tuuu
Mapenzi ya siku hizi bwana. Yamekua kama BSS. Ndio maana mnaumizwa. Tatizo mnakua na mnaowataka. Eti awe na ajira sijui vitu gani gani. Yaani wanawake mmekua cheap sana ndio maana mnadharauliwa. Miaka ya juzi tu kumpata mwanamke lazima umfukuzie miezi sita. Lakini saizi mnajitangaza utadhani maeneo mnayoishi hakuna wanaume. Inawezekana nyie ndo wale malaya mpaka mnatemwa mate maeneo mnayotokea hivyo mnatafuta sehemu nyingineV
i
Vigezo huna kaa kimya.waachie wenye vgezo.
Hamtatupata mkitutafuta ila mtatupata tukiwatafuta.Kwani nyie Ndo wenye hisia pekeenuu??? Tutawatafuta tuuu
mimi ni msichana wa miaka 26.elimu yangu ni shahada moja.sifanyi kazi.ni mwembamba,maji ya kunde.mkristo.
Natafuta mme msomi.at least degree ,mwenye hofu ya mungu,mwenye kazi ya maana ,mkristo ,mwenye mapenzi ya dhati,umri kuanzia miaka 29-35.kama uko interested ni Pm
Huyo yesu anapatikana wapi namimi nina dadangu anataka kuolewa alishaumizwa na jamaa flani hv.Ukimpata Yesu utakuwa umepata vyote
Wala hutaumizwa
Alibeba fadhaa zetu
Ukizingatia waliopo kwenye ajira hawazidi 3 ml na wanawake wapo 10 ml wanaohitaji kuolewa.Da usijali utampata ambaye nae ana mtoto ila toa hcho kigezo cha kuajiriwa . Maisha ya ndoa ni zaidi ya kuajiriwa wako watu wanauza karanga na wanalisha watoto na familia na kusomesha na maisha yanaenda.