Natafuta mume wa kunioa

Miaka Hiyo....Ngoja Ngoja Nifikishe Basi
 
Mapenzi kama nyumba ya maskini inajengwa na kurekebishwa mdogo mdogo ukitaka umpate mwenye sifa zote hizo utaongopewa tafuta mwenye sifa za wastani mengine kamjenge mwenyewe labda kama unatafuta wa kukumega tu.
Nimeipenda hiii!
 

Duh! Hapa upele umepata mkunaji!
 

kwa cku awe na uwezo wa kufunga goli ngapi?
 
aaah miss manka hiyo sharti la miaka umekaza mno ebu legeza kidogo
 
Aliye na sifa hizo zote bila shaka atakuwa mume wa mtu. Labda kama unataka kuwa mke wa pili.
 
Hivi umefanikiwa kumpata huyo mume??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…