Natafuta mume wa kunioa


ha! ha! miss manka nipigie kwa 0715-*6*910 ukipatia namba za kwenye hizo nyota mbili basi utakuwa umebahatika. Kazi kwako!
 
Kumbe 25 Bas we ni age yangu, eb nitafte inbox kama upo serious
 
hivi kwenye hiyo range ya umri siutakutana na wame wa watu......
 
We ar nt age mate, nakzd tu kwa sana
 
mm ni bint wa 25...pretty n i respect my self...
ndo maana nataka yule alie komaa

25yrs unataka me wa 40yrs! Mm nina 33yrs ni saiz yako kabisa na vigezo vyote ninavyo, ila namzimikia sana miss chagga japo naogopa kumtongoza! Hebu nipe vigezo vyako vinavyoweza kunishawishi upendo wangu nikauhamishia kwako!
 
Kwa vigezo hvyo utaendelea kuwa single hadi utakuwa album kabsa.. Ngumu sana kupata 100% vgezo vyako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…