SIFA ZA MWANAUME
- Awe hajawahi kuoa na asiwe na mtoto
- Asiwe mnywaji pombe wala mvuta sigara
- Mrefu na mwenye umbo la wastani(si mnene wala mwembamba)
- Elimu kuanzia degree na kuendelea
- Awe ameajiriwa katika kampuni inayoeleweka au serikalini
- Awe mkristo, akiwa wa KKKT itafaa zaidi
- Asiwe bahili na asiwe Malaya
- Umri 34-40
SIFA ZANGU
- Sijawahi kuolewa na wala sina mtoto
- Sinywi wala sivuti
- Urefu kimo cha kike
- Elimu Masters degree
- Mkristo
- Rangi mweupe wa wastani
ha ha ha acha ubahili bana.....mie naogopa tu mdada akishakuwa na masharti ya hivyo, hata wazazi watakywa na masharti makubwa katika swala zima la mahari.. Hapa ndo tunaona mtu anapigwa mahari ya 6M, "FOR THE VALUE OF THEIR DAUGHTER"
ha ha ha acha ubahili bana...
kabila langu linaniruhusu, teeh!!
kabila langu linaniruhusu, teeh!!
kwa umri wako dada angu na masharti uliyoweka cdhani kama itakuwa rahisi ivo kumpata
Chaga?
Kabisaaaa....naona unawakilisha!
.nakufumba macho, nitakuambia baadae!!!
Mi sio bahili aseee….umeona eeh!! Lakini hata wewe..lol
Mi sio bahili aseee….
Hebu niambie bhana...
yaani humu ukumbini nitoe details zangu, lols
Unasema ''Sijawahi kuolewa na wala sina mtoto'' Vipi ushakutana na wanaume wangapi tofauti tofauti mpaka kufikia umri huo wa 30's.?Mimi nipo serious na Vigezo vyote ninavyo.Ni pm kwa muendelezo zaidi ya hapa.Najua value yangu Mkuu.Na kwa mwanaume mwenye uelewa mpana ataangalia vigezo vya mwanamke zaidi ya umri.Nimetumia lugha nyepesi ili nisikukwaze.Ukiisoma vizuri utajua na maanisha nini.
Ok bas utaniambia chumbani yakhee
...usijenikimbiza tu huko..manake mmmh!!
Nini....hebu sema nikutoe wasiwasi
mmh..haya naja chumbani saivi..!!