Natafuta mume wa kunioa


Na wewe usiwe 'mchimba dhahabu' wala 'unga wa ngano'
 

Naomba elezea na shape yako
 
SIFA ZA MWANAUME



  • Elimu kuanzia degree na kuendelea
  • Awe ameajiriwa katika kampuni inayoeleweka au serikalini
  • Asiwe bahili na asiwe Malaya


SIFA ZANGU

  • Urefu kimo cha kike
  • Elimu Masters degree
  • Rangi mweupe wa wastani

Hiyo ndoa ya SIFA sijui km itadumu hata kwa wiki moja! Baadhi hazita exist baada ya kuvuka mlango wa kanisa.
 
Umeruka wasifu ufuatao:
hujasema umeajiriwa ama la
hujasema kuwa wewe ni malaya au laa
hujataja umri wako, labda ni kibibi!

Pia hujaelezea wasifu wako katika show, na vile vile unataka mume ambaye katika show dakika 2 tu anaomba poo, au yule mbio ndefu pumzi fupi.

Ila bila shaka huna nia ya kuolewa.
Bila kusahau Kumbuka ya VICK KAMATA.

Cc: Mbunge wa viti maalum
Cc: Aliyemuingiza mkenge mbunge wetu mkata viuno.
 

Nikiwa na Post Graduate Diploma (in lieu of Masters) na vigezo vingine ninavyo nitakuwa short listed??
 
Mnacheza sana, mnatiwa sana afu baadae ndo mnakuja jitambua kuwa mwataka olewa.
 
Nakuombea utampata tu huyo mwanaume unayemtaka. Nina uhakika kila mtu ana wake hapa duniani, na wako yupo kabisa, tena kwa hivyo vigezo vyako. Ni suala la subira, ila WAPO.
 
najua value yangu mkuu.na kwa mwanaume mwenye uelewa mpana ataangalia vigezo vya mwanamke zaidi ya umri.nimetumia lugha nyepesi ili nisikukwaze.ukiisoma vizuri utajua na maanisha nini.
na mwanamke mwenye uelewa mpana ataangalia vigezo vya mwanaume zaidi ya umri huo wa 34+++
 
Karibia sifa zote ninazo ila kunywa nakunywa kwa ajili ya kusocilaize na mimi Mkatoliki anayemucha Mungu na kuhusu ubahili yaani unataka niwe ATM au unaongelea matumizi ya kawaida ya familia ambayo wote ni wajibu wetu?
Je nafaa ili nikuPM?
 
Ahaaaa!! Ukimnyima unyumba si atakwenda kukita mkuki kwa rafiki? Yello mama yeyyo masai ipe yeye mara nyingi isije kwenda kukita mkuki kwa wake wa morani wenzake ukaruhusu mchepuko zaidi
namyima unymba miaka miwili adhabu yake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…