Habari wakuu, naingia leo jukwaa hii kutafuta mtu ambaye naweza kumuamini akawa mtu wangu wa karibu maishani. Natafuta mwanaume ambaye anaweza kuwa rafiki na mume.
Sifa zangu: Umri kati ya 35 na 38, Ninafanya kazi, Dini mkristo, Elimu zaidi ya degree ya kwanza. Nipo Dar es Salaam, nilishawahi olewa, na sina mtoto.
Sifa zake: Awe mkristo, Awe na shughuli halali inayomwingizia kipato, Umri 38-43, akiwa na mtoto sio tatizo. Elimu at least degree ya kwanza. Kwa walio serious tu. Karibuni.

Na pia amlete hapa tusikilize na hoja za upande wa pili. Tukisikia tujue wapi pakuishia. Samahani pia.Kwanza tueleze sababu ya kuachana na mwanaume mwenzetu. Tukijua kilichomshinda mwenzetu tutakua na pakuanzia. Samahani kama nitakua nimekuudhi.
jamani hapo kwenye umri hupunguzi kidogo...
Kwanza tueleze sababu ya kuachana na mwanaume mwenzetu. Tukijua kilichomshinda mwenzetu tutakua na pakuanzia. Samahani kama nitakua nimekuudhi.
Sasa mama mimi nina shuguli yangu ya halali nina duka ila sina digree hapo vipu?
Hebu PM kwangu nikupe ushauli mwingine wa bure.kuna mahala umekosea japo unajiona uko sawa,njoo haraka