Natafuta mume, nina miaka 24

Una miaka 24 unataka wa miaka 40?!! Ukimwekea mguu pwani mguu Zanzibar na ukaiminyia kwa ndani si anafariki?!! Ama shida yako mirathi ukale na charii yako baada ya msiba?!!
 
Hongera sana
 
Umepata au bado unatafuta
 
Mara ya mwisho kuonekana ni October, 02, 2023
Itakuwa aliamua kujia au alipata mstaafu
 
Atakuwa amewalenga wenye financial stability

Hataki mwanaume wa kumwambia kuna deal nalisubiria πŸ˜…πŸ™Œ
Mambo yasiwe mengi akataka wanene uhakika hawana msongo wa mawazo wamejipata kiuchumi.
 
ENDELENI TU kutukejeli sisi maskini maana NDO mambo tunayo wazia
 
Unasema unamtqfuta baba yako .. humjui jina ??

Kwanini hujampata hadi Leo ukiwa mtu mzima hivyo ?? Saiv ni mda wa kutafuta baba watoto madam.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…