Natafuta mume Mbena au Muhehe

Habari za majukumu wadau. Kama mada inavyojieleza naamini mwanaume anapatikana sehemu yoyote ile. Hitaji langu kubwa ni hilo. Mume wa mtu hapana.
Vipi bado yupo huyo muhehe ? Au umeshamvuruga amejinyonga.
 
Habari za majukumu wadau. Kama mada inavyojieleza naamini mwanaume anapatikana sehemu yoyote ile. Hitaji langu kubwa ni hilo. Mume wa mtu hapana.
Nene ndigaga twibaanye hela, uuse mwigati (inbox)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom