Mwinuka mzawa
Member
- Feb 28, 2014
- 44
- 1
Daa mashart mengi mno dada huna nia ya dhati
Swali la Heaven on Earth haujaliona au unazuga?
Maswali mengine siyo ya kujibu haraka;
Unaweza onekana umechanganyikiwa bure;
natafuta mwanaume anayehitaji mwanamke wa kuishi naye awe na. sifa zifuatazo; ;;;awe mzaliwa wa mikoa ya kaskazini, hajawahi kuoa, umri -32-37,elimu, form. 6, mkristo (r.. c ).mwenye nidhamu.
ty
Unatafuta mume au mfanya kazi
dah.. ichana umenigusa hapo kwa red..Subir mda muafaka
Nimekumiss sana best
Napata machungu nikikumbuka .........
Umeweka masharti ya kijinga utapata wa kukugegeda tu.