Natafuta mume jamani mbona sipati

Natafuta mume jamani mbona sipati

Kila la heri Mpwa, humu utapata wateja wengi tu na biashara kushamiri sana. 🙂🙂

Hahahahaha hahahaaa Hahahahaah nina counseling center Mpwa
 
Siyo wote lazima muolewe wengine mnapaswa muwe wafundaji wa ndoa za wenzenu..mana wewe si mara ya kwanza kutundika uzi una tafuta mume na masharti ka yakuomba kazi
 
Awe mweupe au maji ya kunde
mrefu
alie ajiriwa au mfanya biashara
umri 30 kuendelea
awe mcha mungu mkristu
Hupati mume kutokana na sifa unazotaka wewe, Naamini walikuja wanaume wengi tu lakini kwasababu wewe una vigezo vyako ukawakataa,sasa endelea kuchagua tu alafu uzee nao unakukaribia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom