Mmh hivyo vigezo!! Angalia baada ya miaka mitatu usirudi hapa na kusema natafuta mume yeyote, ilimradi mwanaume anayevaa suruali.View attachment 403231
Am Josephina from Dar es salaam, nimeajiriwa, nina miaka 33, msomi mwenye elimu ya chuo kikuu, mwembamba sio mrefu sana wala mfupi ni wa wastani, chocolate colour nimeokoka nampenda Yesu hivyo nina hofu ya Mungu moyoni mwangu sambamba na hilo ni mbunifu wa mambo mbalimbali na nafanya kazi kwa bidii yoyote ile natafuta mchumba aliye SERIOUS ili baadae aje kuwa mume wangu mpenzi wa ndoa.
Mwenye sifa zifuatazo: Awe mkristu mwenye hofu ya Mungu wa umri wa miaka 34 mpaka 38, anaishi DAR, mrefu,mwembamba, muajiriwa au mfanya biashara, msomi, mwenye mapenzi ya dhati, asiyekuwa AMEOA na asiye na mtoto, mwenye mawazo ya kimaendeleo, msafi, na anayejituma kwa maendeleo ya familia yetu, awe mvumilivu.
Kwa mawasiliano na mimi piga namba.
Piga no hii +255672433591
Hakuna mwanaume ambae hana tatizo la kibiologia wala kifizikia mwenye umri wa miaka 34-38 hakawa hana mtoto na hajaoa nadhani ungetoa kigezo cha kuto kuwa na mtoto kwa umri huo
Waaume wa Dar es salaam ndo maana tunaambiwa tuna matatizo!!! mtoto amesha kuwekea namba ya simu hapa kwenye bango, harafu unaleta mbwembwe eti akufuate inbox!!!
unataka umwombe vocha??
View attachment 403231
Am Josephina from Dar es salaam, nimeajiriwa, nina miaka 33, msomi mwenye elimu ya chuo kikuu, mwembamba sio mrefu sana wala mfupi ni wa wastani, chocolate colour nimeokoka nampenda Yesu hivyo nina hofu ya Mungu moyoni mwangu sambamba na hilo ni mbunifu wa mambo mbalimbali na nafanya kazi kwa bidii yoyote ile natafuta mchumba aliye SERIOUS ili baadae aje kuwa mume wangu mpenzi wa ndoa.
Mwenye sifa zifuatazo: Awe mkristu mwenye hofu ya Mungu wa umri wa miaka 34 mpaka 38, anaishi DAR, mrefu,mwembamba, muajiriwa au mfanya biashara, msomi, mwenye mapenzi ya dhati, asiyekuwa AMEOA na asiye na mtoto, mwenye mawazo ya kimaendeleo, msafi, na anayejituma kwa maendeleo ya familia yetu, awe mvumilivu.
Kwa mawasiliano na mimi piga namba.
Piga no hii +255672433591
SIFA HIZO NINAZO ILA MOJA TU ULIVYOSEMA WEWE NI MLOKOLE BASI TENA SINA IMANI NA MLOKOLE YEYOTE DUNIANI NILISHAUMIZWA INATOSHA HONGERA KWA KUTOA NAMBA YAKO YA SIMU UNAONYESHA MSISITIZO MUNGU AKUBARIKI ILA HATA HIVYO UMEONYESH UBAGUZI KWA WATOTO USIO WAZAA WEWE IKO WAPI IMANI YAKO YA KILOKOLE??? MTU MPAKA ANAFIKISHA UMRI WA MIAKA 38 HANA MTOTO LAZIMA NAYE ATAKUWA NA MATATIZO KAMA WEWE.View attachment 403231
Am Josephina from Dar es salaam, nimeajiriwa, nina miaka 33, msomi mwenye elimu ya chuo kikuu, mwembamba sio mrefu sana wala mfupi ni wa wastani, chocolate colour nimeokoka nampenda Yesu hivyo nina hofu ya Mungu moyoni mwangu sambamba na hilo ni mbunifu wa mambo mbalimbali na nafanya kazi kwa bidii yoyote ile natafuta mchumba aliye SERIOUS ili baadae aje kuwa mume wangu mpenzi wa ndoa.
Mwenye sifa zifuatazo: Awe mkristu mwenye hofu ya Mungu wa umri wa miaka 34 mpaka 38, anaishi DAR, mrefu,mwembamba, muajiriwa au mfanya biashara, msomi, mwenye mapenzi ya dhati, asiyekuwa AMEOA na asiye na mtoto, mwenye mawazo ya kimaendeleo, msafi, na anayejituma kwa maendeleo ya familia yetu, awe mvumilivu.
Kwa mawasiliano na mimi piga namba.
Piga no hii +255672433591
Hongera mama jitahidi wapo.View attachment 403231

Unaishi dunia gani? Mbona wapo wengi tu hawataki watoto wala kuoa.Hakuna mwanaume ambae hana tatizo la kibiologia wala kifizikia mwenye umri wa miaka 34-38 hakawa hana mtoto na hajaoa nadhani ungetoa kigezo cha kuto kuwa na mtoto kwa umri huo
Siku hizi ni rahisi kujua namba ya simu ni ya nani, especially tigo line. Nimeangalia nimeona hii namba ni ya mwanaume jina linaanzia R sasa dada yetu hadi hapo vibendera vyekundu vinaanza kupaa!View attachment 403231