Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,788
Nikiona thread kama hizi huwa najiuliza sana maswali ...Umeokoka, unatafuta mume. Unataka aliyeokoka au mwenye imani ya kawaida(moderate)? 33yrs upo kwenye peak ya utamu!!!
Nikiona thread kama hizi huwa najiuliza sana maswali ...Umeokoka, unatafuta mume. Unataka aliyeokoka au mwenye imani ya kawaida(moderate)? 33yrs upo kwenye peak ya utamu!!!
Maswali gani huwa unajiuliza?Nikiona thread kama hizi huwa najiuliza sana maswali ...
Acha niyahifadhi tu mtani...Maswali gani huwa unajiuliza?
Sikubali, find a way to tell me...sikubali!![emoji12]Acha niyahifadhi tu mtani...
Mkuu Mimi sina MTOTO aiseee na nipo vizuri kabisaaaaaaaa!Hakuna mwanaume ambae hana tatizo la kibiologia wala kifizikia mwenye umri wa miaka 34-38 hakawa hana mtoto na hajaoa nadhani ungetoa kigezo cha kuto kuwa na mtoto kwa umri huo
Peak ya utamu?????Umeokoka, unatafuta mume. Unataka aliyeokoka au mwenye imani ya kawaida(moderate)? 33yrs upo kwenye peak ya utamu!!!
Usiwe na shaka mtani...wewe tena? Sina namna yankuacha kukuambia..Sikubali, find a way to tell me...sikubali!![emoji12]
Uliza.....Nikiona thread kama hizi huwa najiuliza sana maswali ...
Yeah...nimemuelewa sana...Peak ya utamu?????
Yap,naamini umeshamuelewa piaOky. Dah kumbe ndio maana vijana tunapenda walio kwenye peak....l