Natafuta mume 45-55

Le Mutuz yuko wapi... ila yeye anaitafuta sabini😀
 
Natafuta mume ambae yuko serious ani pm
Nina 42 nina watoto mume wangu amefariki miaka 5 iliyopita
Nimejiajiri, najiona mpweke sina kwa sasa nahitaji mwenza
Mkristu na anaemuogopa Mungu
Ila sihitaji kuongeza watoto.
Hii ni ID yako mpya sio?
 
Bora unisaidie
 
All the same. Grandpa is a hubby of a grandchild...

Will you merry me?
ha ha ha babu we ni mwehu ujana wako umekula na nan uzee uje kwangu sipo tayali kuolewa na ww sitaki mambo ya kuanza kukuchemshia maji ya moto mm na ww tule bata tu sio mambo ya ndoa nakuja PM tusiwape watu faida
 
Basi sawa. Tukaongee yetu PM. Hapa wanga wengi.

Afu ntake radhi kuniita mwehu. Utapata laana ujue
 
Hizi ID fake za humu unaweza kumtongoza dada yako, au mkeo kwa mara ya pili unadhani unachepuka kumbe unajikamatisha red handed. Unaweza kuta huyu ni dada wa mkeo afu ndio unatuma PM yako kisha siku ya kuonana unakuta dada wa mkeo au dada wako. Utaisoma namba...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…