Sifa:
Mkristo.
25 to 32yrs of age.
I dont care whether working or jobless.
learned(some people are educated but not lerned).
God fearing.
Awe mkazi wa Iringa.
PMs are welcomed.
Sababu: Mke wangu mtarajiwa amenisaliti baada ya kuhamia Iringa Kikazi, This is the most painful expirience I have ever had In my life.
usimtishe bwana watu wanapata wenza kwenye mitandao na wanaoana na ndoa zinadumu,ila sidhani kama wabongo tumegfikia hatua hiyo ya kutafuta wenza kwenye mitandao jamani.......ila umeniacha hoi sana na likifaru a.k.a mvuto ziro hahahaahahahah!Dah!!Hivi mbona siku hizi hii mambo kuwowana inakua kirahicrahic hivi imeekaaje hii ?halafu unataka kujiaminisha kua mke au mume wa kukutana nae kwenye mitandao humu ndio aje kua right choicer wako duuuh!!mara chache sana kufanikiwa kumpata mwenye vigezo unavyo vihitaji.
Unaweza kukuta mtu linamihoja ya laana na sauti matata sasa omba ukutane nae hehehee!!huwezi kuamini kua ndiye uliyekua unawasiliana nae ndio huyo... kama likifaru shortly ''mvuto ziro '' wakati we ushapata hasara ya muda pengine hata pesa .
Ushauri:_Zidi kumuomba mungu siku moja akupe kilicho chako,pia kipitie chanzo kilichosababisha wewe usalitiwe na ukifanyie kazi.
Hawa wadada wakwenye mitandao ndio haohao tunaokutana nao huko mitaani kwetu hakuna anaeishi mbingu humu.
Hiyo title iko sawa au naota ndo nini maana ya ke???
DA huyu anacheza na maneno haya - hajui yana uzito wake. Sijui kama atapata wa KUMUWOWA bali nafikiri wengi watajitokeza wa KUWAOA
pole kwa kusalitiwa pia nakutakia kila la kheri ktk kumpata huyo my wife wako mpya
Am here to make a reminder, am still single and looking!
Sifa:
Mkristo.
25 to 32yrs of age.
I dont care whether working or jobless.
learned(some people are educated but not lerned).
God fearing.
Awe mkazi wa Iringa.
PMs are welcomed.
Sababu: Mke wangu mtarajiwa amenisaliti baada ya kuhamia Iringa Kikazi, This is the most painful expirience I have ever had In my life.
Haya ndiyo matatizo ya kukaa kwenye kituo cha mafuta masaa matatu!!! Halafu ukaamua kwenda baa ya jirani kusubiri!!!!
pole kwa kusalitiwa..
tulia kwanza ujipange..
halafu lugha uliyotumia kuwa unatafuta muchumba wa kuwowa wakisikia wenyewe waolewaji watamind!