Mtwara Smart
JF-Expert Member
- Jun 6, 2019
- 666
- 1,480
Senior Kumbe Upo HukuCheck me, unaweza kaa kwangu.
Senior Kumbe Upo HukuCheck me, unaweza kaa kwangu.
Acha hizo mkuu watu wamepokelewa na watu hata hawajuani na wakakaa nao mpaka mambo yakakaa sawa hakuna tozo wala nn?. Angekuwa anakuja mtaa niliopo ningemsaidia mpaka hela ya kula kwenye usaili wakeVijana mnaochipukia aisee mna mambo ya ajabu Sana. Yaani mtu ukutane nae tu JF ukalale kwake, seriously?
Mimi sio kijana ninaechipukia..ila nimesikitishwa na wewe mzee mwenzangu kwa huu uchangiaji wako..na aibu iwe kwako.Vijana mnaochipukia aisee mna mambo ya ajabu Sana. Yaani mtu ukutane nae tu JF ukalale kwake, seriously?
Pengine hujawahi kupitia changamoto mkuu
Na watu haohao wanajipa chapa ya u great thinkers ..aibu Sana aisee.Tz kuna wajinga wengi, kuna comment ukizisoma unaona kabisa watu wengi ni vichwa panzi.
Kwanza tujue ww ni KE au ME ?
Kama ni KE njoo utakaa kwangu hata wiki maana mke wangu nmeachana naye juzi tu
Pamoja sana mzee,all the best.He is a good person so dont worry.I know him nje ya JF.Uandae tu buku la bodaboda from hiyo mitaa ya Ligula hosp mpaka Bandari.Muda wakurudi unaweza piga ado ado ili uuone mji.Wakuu Uzi ufungwe sasa nimeshapata msaada kutoka kwa ndugu yangu Dr Mayala
Nipo mkuu,si unajua tenaSenior Kumbe Upo Huku
Wasomi wetu bana wa siku hizi,yaani umekosa hadi shilingi elfu kumi ya kulipia guest then unataka kufikia kwa mtu wa jamii forum?kwa akili hizi nakushauri hata kwenye hiyo interview usiende maana una vyeti tu Ila kichwani upo mweupeHello wana Jamvi nilikuwa naomba hifadhi ya kulala Hapo Mtwara kwa muda wa siku tatu, Ninakuja huko kwa ajili ya interview Vitu kama chakula ntajitegemea au kama patakuwa na utaratibu wa kupika pia ntachangia. Nina documents zote ambazo zitakutoa shaka kabisa na ukao wangu hapo kwako wasiwasi ni akili hivyo nitajitahdi kukuonesha proof zote kuwa mimi mgeni salama.
Interview inafanyikia Bandari sekondari na Employer ni TANESCO , Sijawahi kufika Mtwara naomba pia anayejua gharama za Guest hapo zikoje anijuze ili option namba moja iki fail ni opt hio ya pili.
Asanteni sana.
Jinsia yangu ni ya kiume.
Age 25
Aisee. Nikija mkuu nita ku pm. Mchakato majimboni utakapoanza. Naomba nafasi ibakie mkuu. Mambo ya kufikia Naf apartment ni ya kwepe. Prokal nyingi.Nipo Mtwara Nina mwezi sasa, nilikuwa mgeni Kama wewe, usihofu, Ukifika shuka pale stendi mpya panaitwa mkanaledi.
Mimi naishi Shaghani ni karibu na stendi hiyo nitakupa hifadhi Nimepangishiwa nyumba nzima na ofisi utakula utalala dada wa kazi yupo. Unaweza kunipm.
Wewe Kama unafanya seminar pale NAF hotel Ina maana unakula perdiem Nzuri, Sasa na huyu bwana mdogo ndiyo anaanza maisha. Mbona unajishusha Mkuu?Aisee. Nikija mkuu nita ku pm. Mchakato majimboni utakapoanza. Naomba nafasi ibakie mkuu. Mambo ya kufikia Naf apartment ni ya kwepe. Prokal nyingi.
Option nyingine tofauti ambayo pia itaondoa hizo doubts ni kuomba angalau mwenye nacho amchangie ili apate kiasi cha yeye kuweza kwenda kulala guest na kupata mahitaji ya msingi ili akamilishe hiyo interview.Hello wana Jamvi nilikuwa naomba hifadhi ya kulala Hapo Mtwara kwa muda wa siku tatu, Ninakuja huko kwa ajili ya interview Vitu kama chakula ntajitegemea au kama patakuwa na utaratibu wa kupika pia ntachangia. Nina documents zote ambazo zitakutoa shaka kabisa na ukao wangu hapo kwako wasiwasi ni akili hivyo nitajitahdi kukuonesha proof zote kuwa mimi mgeni salama.
Interview inafanyikia Bandari sekondari na Employer ni TANESCO , Sijawahi kufika Mtwara naomba pia anayejua gharama za Guest hapo zikoje anijuze ili option namba moja iki fail ni opt hio ya pili.
Asanteni sana.
Jinsia yangu ni ya kiume.
Age 25
Jamaa anahitaji kulala, siyo kusafiri. Stand ya mabasi ya nini? Unataka akalale stand ya mabasi?Hivi mtwara hakuna stand ya mabasi?
Good advice. Paomja sana mkuu.Hongera kwa kuitwa kwenye usaili. Binafsi, nashauri tafuta guest/lodge yenye gharama ambazo utazimudu na ufikie hapo. Kwa umri ulionao kuna suala la privacy nakadhalika. Mara nyingi, cheap is expensive. Kila lakheri kwenye usaili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru sana mkuu na Nimeshawasiliana nae mchana ivo mambo yako sawaPamoja sana mzee,all the best.He is a good person so dont worry.I know him nje ya JF.Uandae tu buku la bodaboda from hiyo mitaa ya Ligula hosp mpaka Bandari.Muda wakurudi unaweza piga ado ado ili uuone mji.
Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app