Ijue Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara

Funa the Great

Senior Member
Aug 1, 2022
160
271
Chini ya bonde kubwa la ufa lenye muonekano wa kipekee utakutana na hifadhi yenye kuvutia zaidi iliyopewa jina la hifadhi ya taifa Ziwa Manyara (Lake Manyara National Park). Hii ni hifadhi inayopatikana kaskazini kwa Tanzania mkoa wa Manyara.

istockphoto-1040302998-612x612.jpg

istockphoto-1082234076-612x612.jpg

Ni hifadhi inayokupa nafasi ya kushuhudia mambo mengi kwa wakati mmoja. Ni hifadhi ambayo inakuacha na kumbukumbu zisizofutika hii ni kutokana na uzuri wa mandhari asilia yanayopatikana uko.

images (3)_1710404180987.jpeg

Hifadhi hii ina sifa za kipekee sana ikiwemo uwepo wa Simba wanaopanda miti na kubatizwa jina la "The home of tree climbing lion". Si ivyo tu hifadhi hii inakupa nafasi ya kujionea idadi kubwa ya wanyama na Ndege wenye kuvutia ikiwemo Tembo, Nyati, Flamingos n.k. Pia kuna maji ya moto yanayochemka kwa nyuzi 70 ni maji ambayo unaweza weka yai na likachemka. Haya ni miongoni ya maajabu yaliopo Tanzania.

istockphoto-900692886-612x612.jpg
istockphoto-535934263-612x612.jpg
istockphoto-1224066713-612x612.jpg
istockphoto-173009115-612x612.jpg

istockphoto-1187864350-612x612.jpg

Hifadhi hii inakupa nafasi ya kufanya utalii wa kutembea kwa miguu (Walking safari), Utalii wa kutumia gari (Game Drive), Pia kutumia mitumbwi sababu ya uwepo wa Ziwa Manyara.

Licha ya kuwa na majukumu mengi lakini tusijisahau sana tujipe nafasi walau ata mara moja moja itatosha kukupa nafasi ya kujionea mengi na kukutana na connection mbalimbali.


Tarehe 01/04/2024 tutaenda Bagamoyo kutalii kama utapendezwa kuungana nasi karibu. Gharama ni 65,000/= safari itaanzia Mlimani City_Dar es Salaam.

Cheki nami +255622174613

Twenzetu kutalii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom