Natafuta mtu wakunipa hifadhi ya Siku 3 Mtwara

Hello wana Jamvi nilikuwa naomba hifadhi ya kulala Hapo mtwara kwa muda wa siku tatu, Ninakuja huko kwa ajili ya interview Vitu kama chakula ntajitegemea au kama patakuwa na utaratibu wa kupika pia ntachangia, Nina documents zote ambazo zitakutoa shaka kabisa na ukao wangu hapo kwako Wasi wasi ni akili ivo ntajitahdi kukuonesha proof zote kuwa mimi mgeni salama, Interview inafanyikia Bandari sekondari na Employer ni TANESCO , Sijawahi kufika mtwara naomba pia anae jua gharama za Guest hapo zikoje anijuze ili option namba moja iki fail ni opt hio ya pili, Asanteni sana
Jinsia yangu ni ya kiume
Age 25
Kiongozi mcheck huyo mdau hapo drgeorgemayalla atakusaidia kama alivyosema.I trust him

Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
 
Hello wana Jamvi nilikuwa naomba hifadhi ya kulala Hapo mtwara kwa muda wa siku tatu, Ninakuja huko kwa ajili ya interview Vitu kama chakula ntajitegemea au kama patakuwa na utaratibu wa kupika pia ntachangia, Nina documents zote ambazo zitakutoa shaka kabisa na ukao wangu hapo kwako Wasi wasi ni akili ivo ntajitahdi kukuonesha proof zote kuwa mimi mgeni salama, Interview inafanyikia Bandari sekondari na Employer ni TANESCO , Sijawahi kufika mtwara naomba pia anae jua gharama za Guest hapo zikoje anijuze ili option namba moja iki fail ni opt hio ya pili, Asanteni sana
Jinsia yangu ni ya kiume
Age 25
Ofisi za TANESCO zipo mahala panaitwa BIMA.. Ndo pekee penye taa za barabarani (Trafic lights) kwa Mtwara nzima.... Bandari sekondari ipo umbali kama wa 1kM toka hapo Bima. Hotel iliyopo karibu zana na hapo Bandari sekondari gharama ni 25,000/- kwa 20,000/- kwa siku kwa chumba. Chakula Mtwara ghari kidogo maana almost kila kitu kinatoka nje ya Mtwara.

Best option ni kulala hotel.. hayo ya kulala kwa mtu ni magumu, unless awe ndugu au unafahamiana naye kabla...

All the best, karibu Mtwara..
 
Vipi guest mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom